Nko juu...kiupendo
Taratibu. ..ndio mwendo......
Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....//

Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo
Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....//

Askali wa moyo.....asali wa moyo
Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....//

Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua
Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../.

Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu
Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....//

Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako
Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....//

My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa
Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
Nko juu...kiupendo Taratibu. ..ndio mwendo...... Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....// Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....// Askali wa moyo.....asali wa moyo Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....// Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../. Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....// Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....// My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
Like
1
0 Comments 0 Shares 321 Views