Taarifa hii imechapishwa na Gazeti la Mwanaspoti.
"Chama amesaini mkataba wa miaka miwili (2) na Yanga SC baada ya mkataba wake kumalizika na Simba akigoma kuongeza mkataba na Simba SC sababu kubwa ikitajwa kuwa ni maslahi pamoja na kejeli za hapa na pale."
"Yanga SC haikuwa imepanga kumtambulisha jana kama ambayo ilifanyika, lakini hatua hiyo ilitokana na matajiri hao (GSM & Hersi) kupokea simu kutoka kwa kiungo huyo kuwa Simba imepata uhakika kuwa yeye amesaini upande wa Yanga SC."
"Kila kilichokuwa kinaendelea usiku wa jumapili baina ya Chama na viongozi wa Simba SC, Chama alikuwa anakishusha kwa Yanga kama kilivyo na ndiye aliyewashauri viongozi wa Yanga waachie picha yake asubuhi kabla ya chai kama kitendo cha kuwanyamazisha wasimsumbue.... Chama anaamini hawakumuheshimu alipokuwa Simba"
"Ukweli mwingine ni kwamba Chama aliwaambia rafiki zake kuwa anataka kucheza ligi ya Mabingwa Afrika na Yanga inaonesha uelekeo wa kufika mbali"
"Simba SC baada ya kupata taarifa hizo matajiri wake kuanzia June 30 walirudi mezani wakihaha kumbakisha kiungo huyo kwa gharama yoyote wakimuwekea pesa mara mbili ya zile alizochukua Yanga, lakini ngoma ikadunda"
"Yanga baada ya kupata taarifa hizo (Kutoka kwa Chama) na kujiridhisha ikaona hapana isambaze picha hizo wakati akisaini kama walivyoshauriwa na Chama, zikawatibua mabosi wa Simba SC"
"Hata hivyo Simba hawakukata tanaa mpaka jana Jumatatu mchana waliendelea kusukuma kete ya mwisho kwa Chama wakimtaka akubali kusaini mkataba kisha wao wanajua namna gani watakwenda kumalizana na Yanga (TFF), lakini Chama akakataa"

·155 Vue