Ni nani atakaevaa viatu vya Mwana FA?
Kumekua na utaratibu wa kupeana vijiti kwenye muziki wa kuimba Tanzania utaona tangu Dully Sykes mpaka kina Marioo kumepita vizazi vingi vya waimbaji ambao wanafanana na Dully kama sio mikogo basi hata "ubraza Men" upo wa kutosha "Mainstream".
Leo nimefikiria sana kuhusu huyu nguli wa Hip Hop Bongo Mh Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA ambae kalamu yake imeviandikia vizazi vingi vya watanzania wanaopenda burudani lakini pia jumbe zake tofauti zimeinusuru jamii katika nyakati ambazo haswa zilihitajika.
FA alipoamua kuwasifu mabinti nani alipingana nae? alipoamua kukea kuhusu zinaa nani alipingana? Wimbo kama alikufa kwa ngoma wakati unatoka ulitufanya madogo tuliokua tunakua wakati ule kuogopa kabisa kukutana na Mabinti kichwa mchunga.
Leo hii najaribu kutazama nani kapokea tochi toka kwa FA? Nakosa jibu labda nikuachie ndugu yangu unisaidie katika hili.
Kwa upande wako ni rapa gani Bongo kapokea tochi toka kwa Mwana FA?
(CC : JR Junior)

·248 مشاهدة