LEO YETU

"Usiishi kwa kutaka kujua watu wanakuona vipi! Acha watu wakuone kama wanavyokuona. Huwezi kubadilisha mitizamo yao cha msingi ishi kama unavyotakiwa kuishi,Usiishi ili kuwapendeza wanadamu. Ukimpendeza Mungu inatosha. Acha watu wakerwe na mwenendo wako lakini Mungu aufurahie. Suala la watu kukuelewa ama kutokuelewa liko ndani ya Uwezo wao wenyewe, wakitaka kukuelewa watakuelewa tu hata usipowaeleza,
Weka hili kwenye ufahamu wako. Ukiyatambua haya hautapata shida na watu kabisa hapa Duniani". Maneno machafu yasifute ndoto zako, hata maji machafu hustawisha mmea.
LEO YETU "Usiishi kwa kutaka kujua watu wanakuona vipi! Acha watu wakuone kama wanavyokuona. Huwezi kubadilisha mitizamo yao cha msingi ishi kama unavyotakiwa kuishi,Usiishi ili kuwapendeza wanadamu. Ukimpendeza Mungu inatosha. Acha watu wakerwe na mwenendo wako lakini Mungu aufurahie. Suala la watu kukuelewa ama kutokuelewa liko ndani ya Uwezo wao wenyewe, wakitaka kukuelewa watakuelewa tu hata usipowaeleza, Weka hili kwenye ufahamu wako. Ukiyatambua haya hautapata shida na watu kabisa hapa Duniani". Maneno machafu yasifute ndoto zako, hata maji machafu hustawisha mmea.
Like
1
· 1 Reacties ·0 aandelen ·214 Views