OFFICIAL: Fadlu Davids ndiye kocha Mkuu Simba
.
Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wao Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Kabla ya kujiunga na Simba msimu uliopita Fadlu alikuwa kocha Msaidizi wa mabingwa wa soka nchini Morocco Raja Club Athletic maarufu Raja Casablanca.
🚨 OFFICIAL: Fadlu Davids ndiye kocha Mkuu Simba . Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wao Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili. . Kabla ya kujiunga na Simba msimu uliopita Fadlu alikuwa kocha Msaidizi wa mabingwa wa soka nchini Morocco Raja Club Athletic maarufu Raja Casablanca.
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·234 Просмотры