MFUMO WA KOCHA MPYA SIMBA . Fadlu ni kocha wa kisasa anayependelea zaidi kutumia mfumo wa mabeki wanne, viungo wakabaji wawili, viungo washambuliaji watatu na straika mmoja yaani 4-2-3-1 mfumo ambao kwa Simba umetumika na makocha wawili waliopita mfululizo yaani Robertinho na Benchikha. . Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa straika wa Vasco Da Gama, Avendale Athletico, Silver Stars, Maritzburg United zote za Afrika Kusini kabla ya kustaafu soka rasmi 2012, ametua Simba akitokea Raja Casablanca ya Morocco alikokuwa kocha msaidizi tangu mwaka jana chini ya Mjerumani Josef Zinnbauer aliyemaliza ligi kwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mechi sambamba na Kombe la Mfalme.
🚨 MFUMO WA KOCHA MPYA SIMBA . Fadlu ni kocha wa kisasa anayependelea zaidi kutumia mfumo wa mabeki wanne, viungo wakabaji wawili, viungo washambuliaji watatu na straika mmoja yaani 4-2-3-1 mfumo ambao kwa Simba umetumika na makocha wawili waliopita mfululizo yaani Robertinho na Benchikha. . Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa straika wa Vasco Da Gama, Avendale Athletico, Silver Stars, Maritzburg United zote za Afrika Kusini kabla ya kustaafu soka rasmi 2012, ametua Simba akitokea Raja Casablanca ya Morocco alikokuwa kocha msaidizi tangu mwaka jana chini ya Mjerumani Josef Zinnbauer aliyemaliza ligi kwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mechi sambamba na Kombe la Mfalme.
Like
1
· 0 Comments ·0 Shares ·97 Views