Klabu ya Simba SC imemtangaza Fadlu Davids (43) ambaye ni Raia wa Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu wao mpya kwa mkataba wa miaka miwili akichukua nafasi ya Juma Mgunda aliyekuwa akiifundisha klabu hiyo kwa muda.

Fadlu ambaye anachukua nafasi ya Adelhak Benchikha aliyeondoka katikati ya msimu uliopita, na alikuwa Kocha Msaidizi wa klabu Raja Casablanca ya Morocco kabla ya kujiunga na Simba SC.
Klabu ya Simba SC imemtangaza Fadlu Davids (43) ambaye ni Raia wa Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu wao mpya kwa mkataba wa miaka miwili akichukua nafasi ya Juma Mgunda aliyekuwa akiifundisha klabu hiyo kwa muda. Fadlu ambaye anachukua nafasi ya Adelhak Benchikha aliyeondoka katikati ya msimu uliopita, na alikuwa Kocha Msaidizi wa klabu Raja Casablanca ya Morocco kabla ya kujiunga na Simba SC.
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·220 Views