Atualize para o Pro

Rapa Kendrick Lamar ameachia video ya “Not Like Us” ambayo ni diss-track kwa rapa kutoka Canada Aubrey Drake Graham. Video hio imepata mapokezi makubwa kwani ndani ya masaa machache imefanikiwa kujikusanyia watazamaji milioni 17 kupitia chaneli yake ya Youtube.

Licha ya mistari kuntu iliyo ndani ya wimbo huo kumchana vibaya Drake, Kendrick ameonyesha hasira yake wazi hata kupitia video hiyo baada ya kuonekana akipiga mfano wa bundi ambao ndege huyo hutumika kama logo ya lebo ya OVO ya mhasimu wake Drake.

#CrownMuziki #HapaNiNyumbani
Rapa Kendrick Lamar ameachia video ya “Not Like Us” ambayo ni diss-track kwa rapa kutoka Canada Aubrey Drake Graham. Video hio imepata mapokezi makubwa kwani ndani ya masaa machache imefanikiwa kujikusanyia watazamaji milioni 17 kupitia chaneli yake ya Youtube. Licha ya mistari kuntu iliyo ndani ya wimbo huo kumchana vibaya Drake, Kendrick ameonyesha hasira yake wazi hata kupitia video hiyo baada ya kuonekana akipiga mfano wa bundi ambao ndege huyo hutumika kama logo ya lebo ya OVO ya mhasimu wake Drake. #CrownMuziki #HapaNiNyumbani
Like
Love
2
·282 Visualizações ·16 Visualizações