“Nimeona wachezaji ambao klabu (Simba) imewatangaza. Binafsi inanipa moyo kuuona msimu ujao itakuwa zamu yetu kunyakua mataji kama Ligi Kuu, FA na mengine ambayo tuliyakosa msimu uliopita. Ukiachana na umri wao kiufundi ni wachezaji wazuri, ndio maana Simba ikawapa nafasi ya kuja kutumika ndani ya kikosi,” kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma.
0 التعليقات ·0 المشاركات ·90 مشاهدة