OFFICIAL: Kiungo ‘fundi’ Debora Fernandes Mavambo (24) mwenye uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anachezea timu ya taifa ya Gabon amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia.
.
Debora anamudu pia kucheza kama kiungo mkabaji namba sita ingawa anafurahi zaidi kucheza juu kidogo yaani namba nane.
🚨 OFFICIAL: Kiungo ‘fundi’ Debora Fernandes Mavambo (24) mwenye uraia pacha wa Congo Brazaville lakini anachezea timu ya taifa ya Gabon amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia. . Debora anamudu pia kucheza kama kiungo mkabaji namba sita ingawa anafurahi zaidi kucheza juu kidogo yaani namba nane.
Like
Haha
2
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·259 Views