Upgrade to Pro

"Kama ambacho nimepata so far as to why Yanga Africa wanamuacha Joseph Guede na Kumchukua Jean othos Baleke ni kweli

Basi team zote 15 za Ligi zinatakiwa Kuungana Kumzuia Yanga Africa. Yes it will take that Much I Swear

I'm blow way for the fact that everything is Planned beforehand.Kila tunachoona hakuna bahati mbaya hata Moja.

I'm scared Kwasababu Sijajua Kwamba team nyingine zinaifahamu Yanga Africa hii Kiasi hiki.

Kama watu wasipozinduka Yanga Africa anaweza Kupiga back to back 10 times.

Anyways ngoja niendelee kukusanya ushahidi nitakuja kuwasimulia hapa kuhusu Kila swali unalojiuliza kuanzia Baleke anaondoka Simba Sports mpaka Saivi anasajiliwa na Yanga Africa

Wenu Katika Ujenzi wa Mpira wa nchi" - Wilson Oruma, Mchambuzi.
"Kama ambacho nimepata so far as to why Yanga Africa wanamuacha Joseph Guede na Kumchukua Jean othos Baleke ni kweli Basi team zote 15 za Ligi zinatakiwa Kuungana Kumzuia Yanga Africa. Yes it will take that Much I Swear I'm blow way for the fact that everything is Planned beforehand.Kila tunachoona hakuna bahati mbaya hata Moja. I'm scared Kwasababu Sijajua Kwamba team nyingine zinaifahamu Yanga Africa hii Kiasi hiki. Kama watu wasipozinduka Yanga Africa anaweza Kupiga back to back 10 times. Anyways ngoja niendelee kukusanya ushahidi nitakuja kuwasimulia hapa kuhusu Kila swali unalojiuliza kuanzia Baleke anaondoka Simba Sports mpaka Saivi anasajiliwa na Yanga Africa Wenu Katika Ujenzi wa Mpira wa nchi" - Wilson Oruma, Mchambuzi.
Like
2
·461 Views