OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani.
.
Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
.
Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
🚨 OFFICIAL : Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Omari Omari kutoka Mashujaa FC kwa mkataba wa miaka miwili. Omari ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti Uwanjani.
.
Omari anaweza kucheza kwa ufasaha namba 8, 10, 11 na 7 na hicho ni moja ya kitu ambacho Simba wamevutiwa kwake na kuamua kumsajili.
·273 Views
·1 Shares