Chupa ya maji ya golikipa wa England Jordan Pickford ilikuwa na orodha ya wapiga penalti wa timu ya taifa ya Uswisi ikiwa ni mikakati ya kuivusha Wajukuu hao wa Malkia kwenda hatua ya nusu fainali.
England imefuzu hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa penalti 5-3 huku Pickford akiokota moja ya penalti za Uswisi na kuisaidia timu yake kukata tiketi ya nusu fainali ya EURO 2024.
Mwamba aliingia na NONDO zake kwenye chumba cha mtihani

✍️ Mwamba aliingia na NONDO zake kwenye chumba cha mtihani
·180 Views