Upgrade to Pro

OFFICIAL:: Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso amejiunga na timu namba 5 kwa Ubora Afrika, SIMBA SC akitokea klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Valentin ana umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.
๐Ÿšจ OFFICIAL:: Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ amejiunga na timu namba 5 kwa Ubora Afrika, SIMBA SC akitokea klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu. . Valentin ana umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.
ยท177 Views ยท1 Shares