BEKI wa kushoto Valentin Nouma wakati anafanyiwa Vipimo vya Afya baada ya kusaini Simba Sports Club.

Simba Sports Club imewapima wachezaji wote waliowasajili na wale wa zamani afya zao kabla ya kuanza kwa Pre Season.
Like
1
· 0 Commentarios ·0 Acciones ·110 Views ·44