DEAL DONE: Klabu namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kunasa saini ya Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitoka Singida Fountain Gate.
.
Kagoma ni moja ya vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambulizi.
Uwezo wake na umri wake ni miongoni mwa vigezo vilivyotuvutia kutafuta saini yake

๐จ DEAL DONE: Klabu namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kunasa saini ya Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitoka Singida Fountain Gate.
.
Kagoma ni moja ya vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambulizi.
Uwezo wake na umri wake ni miongoni mwa vigezo vilivyotuvutia kutafuta saini yake
0 Comments
ยท1 Shares
ยท276 Views