ENG.HERSI: AZIZ KI ANASILIMIA 60 YA KUBAKI YANGA SC.
"Ni ngumu sana kwetu kumpoteza mchezaji kama Ki Aziz, siwezi kusema tunampoteza lakini kuna ofa nyingi za vilabu vingi vikiwemo vya hapa Afrika Kusini"
"Majadiliano yetu kuhusu mkataba mpya yanaendelea vizuri sana, lakini hadi sasa hakuna kilichokamilishwa.
"Mchezaji anataka kubaki lakini pia nguvu za fedha zinaweza kubadilisha mawazo yake kwasababu Mpira ni biashara"
"Naweza kusema hadi sasa ni 60% kwa 40%"
Rais wa Young Africans Eng Hersi Said kuhusu hatma ya Aziz KI .

Rais wa Young Africans 🇹🇿 Eng Hersi Said kuhusu hatma ya Aziz KI 🇧🇫.