"Mimi siwezi kuhubiri Watu waache dhambi hiyo sio kazi yangu siwezi kuhubiri watu waache dhambi wakati sadaka napata kwa Watu wanaopewa na michepuko yao, mimi nahubiri ambacho naona nafanikiwa basi, wale wanaohubiri utakatifu na kwenda mbinguni kila la kheri ila mimi napambana na Wachawi tu"- Pastor Dominic (Nabii kiboko ya Wachawi, Mchungaji Tanzania.
Mchungaji huyo Kanisa lake lipo maeneo ya Buza Jijini Dar es Salaam huku Wafuasi wengi wakiwa ni Wanawake ambao wametokea kumkubali Mchungaji huyo na wamekuwa wakiongezeka kila kukicha. Kiboko ya Wachawi analindwa na ulinzi mkali yaani "Mabaunsa" akiwemo Mwarabu Fighter aliyekuwa kuwa Mlinzi wa Diamond Platnumz.

·151 Visualizações