KILICHOJIFICHA NDANI YA CHANGAMOTO
(a)Ndani Ya Changamoto unazopitia na unazokutana nazo Kila Wakati Kwenye Maisha Yako ni ISHARA YA UKUBWA WA HATMA /KUSUDI MUNGU ALILOKUPUNGIA
Kamwe Huwezi Kupitia Changamoto,vita Kubwa zaidi Ya Ukubwa Wa Hatma Yako ,Vita , Majaribu, Changamoto zinakuja Sawasawa na Kiwango Cha Hatma na Kusudi la Mungu Juu Yako
(b)Faida Mojawapo Ya Changamoto ni Baada ya Kuvuka na Kushinda Hiyo Changamoto inakupa Kiwango Kingine Cha KUMJUA MUNGU na Kukupa Imani Zaidi Juu Ya Uwezo wa Utendaji Wa Mungu Usio na Mashaka.
Kuna Kiwango huwezi Kumjua na Kuwa na Imani Na Mungu Kwenye eneo Hilo Kama Hakuna Changamoto ngumu uliyopitia ambayo ulijua Kabisa Mimi hapa Ndiyo basi tena lakini Mungu AKAKUVUSHA lazima utakuwa na Imani Kubwa Sana Juu Ya Mungu baada Kuvuka
(c) Mafanikio Yetu Mengi Yamefungwa na Yamejificha Kwenye Nyuma Ya Kila Changamoto tunazopitia na tunazokutana nazo
Unakumbuka Habari Za Goliath ,Nyuma Ya Goliath Kulikuwa na Ufalme Lakini Israel Wengi waliishia kulitazama Kama Tatizo na Kuishia Kulalamika na kunung'unika lakini DAUDI ALIJUA HII NI FURSA YA MIMI KWENDA IKULU ,YA MIMI KUJULIKANA NDIYO MAANA ALIULIZA ATAFANYIWA NINI MTU YULE ATAYEMUUA HUYU MTU
USITAZAME CHANGAMOTO KANA MATESO BALI ZITAZAME KAMA FURSA /MAFANIKIO YAKO
Wana Wa Israel Wao Waliona Majitu , Lakini Kalebu na Yoshua Wao Waliona Ni Chakula kwao.
AMANI NA SALAMA

·369 Vue