Klabu ya Yanga SC imepangwa kucheza na klabu ya Vital'o FC ya Burundi katika hatua ya awali ya klabu bingwa Afrika huku klabu ya Azam FC ikipangwa na klabu APR ya Rwanda . Azam FC inaanzia nyumbani na Yanga SC inaanzia ugenini Nchini Burundi.
Mshindi kati ya Vital'o FC na Yanga SC atacheza na mshindi wa mchezo kati ya klabu ya AS Villa ya Uganda na Commercial Bank ya Ethiopia na Mshindi dhidi Azam FC na APR atacheza na mshindi kati ya JKU ya Zanzibar na Pyramids ya Misri.
Klabu ya Simba SC itakutana na mshindi kati ya Uhamiaji FC ya Zanzibar dhidi ya klabu ya Libya (ambayo bado haijafahamika) kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup).
Klabu ya Coastal Union imepangwa na klabu ya FC Bravos ya Angola kwenye mchezo wa raundi ya awali na ikifanikiwa kufuzu itacheza na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho.

Klabu ya Yanga SC imepangwa kucheza na klabu ya Vital'o FC ya Burundi 🇧🇮 katika hatua ya awali ya klabu bingwa Afrika huku klabu ya Azam FC ikipangwa na klabu APR ya Rwanda 🇷🇼. Azam FC inaanzia nyumbani na Yanga SC inaanzia ugenini Nchini Burundi.
Mshindi kati ya Vital'o FC na Yanga SC atacheza na mshindi wa mchezo kati ya klabu ya AS Villa ya Uganda na Commercial Bank ya Ethiopia na Mshindi dhidi Azam FC na APR atacheza na mshindi kati ya JKU ya Zanzibar na Pyramids ya Misri.
Klabu ya Simba SC itakutana na mshindi kati ya Uhamiaji FC ya Zanzibar dhidi ya klabu ya Libya (ambayo bado haijafahamika) kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya kufuzu makundi ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup).
Klabu ya Coastal Union imepangwa na klabu ya FC Bravos ya Angola kwenye mchezo wa raundi ya awali na ikifanikiwa kufuzu itacheza na FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho.
0 Commentarii
·0 Distribuiri
·396 Views