Upgrade to Pro

"Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini

Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto

Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.

"Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania 🇹🇿 aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.
Haha
1
·451 Views