Read more
KILIANZA NINI ❓| Mbunge kaibiwa, kama unafanya biashara ya kuuza mafenesi funga biashara na usepe😬.... 🧏🏼Picha linaanza msako mkali unaendelea soko adi soko mafenesi Yaliyo ibiwa yamepigwa picha📸 yana tafutwa kama mtu alie potea 😂😂 so, baada ya shamba la mbunge kuvamiwa na wezi na waka vuna mafenesi yote kesi imefika 🚔Police. Hii movie daah wahindi kudadeq zao.. ukiwa unatizama hii movie hakikisha unapesa za akiba za kukupeleka hospitali🤭 maana mbavu zako hazitabaki salama 😂 ni comedy je❓Unaitaji Tukuunge na wewe V.I.P Gusa Hapa https://t.me/vifulushi Tuma neno "🥳NIUNGE
Love
Like
7
· 0 Comments ·0 Shares ·637 Views