KUMBE MIMBA NI NUKSI | ikiwa utabeba mimba nnje ya ndoa ni aibu kubwa sana huko indonesia bhn..
Bidada baada ya kubeba mimba nnje ya ndoa, anaamua kuondoka kijijini kwao kwa siri na kwenda mbali na kutafuta mkunga kwa siri na kuamua kuilea mimba hiyo kwa siri sana bira mtu yoyote kujua alipo na hatakama alikuwa na mimba mpaka atakapo jifungua🤱🏻 .. sasa balaa nikwamba Bidada anajikuta ameficha tu ushaidi wa kifo chake mwenyewe..Kumbe Mkunga wake anasiri za giza na anatafuta chombo kamili cha roho kwa ajili ya mtoto wake aliyekufa, yaani anataka kutumia mtoto aliye tumboni mwa Bidada kumfufua mtoto wake aliyekufa ...
_______________________________
Jiunge Telegram
https://t.me/HFilam_Official/1447

KUMBE MIMBA NI NUKSI🤮 | ikiwa utabeba mimba nnje ya ndoa ni aibu kubwa sana huko indonesia bhn..
Bidada baada ya kubeba mimba nnje ya ndoa, anaamua kuondoka kijijini kwao kwa siri na kwenda mbali na kutafuta mkunga kwa siri na kuamua kuilea mimba hiyo kwa siri sana bira mtu yoyote kujua alipo na hatakama alikuwa na mimba mpaka atakapo jifungua🤱🏻 .. sasa 🥶balaa nikwamba Bidada anajikuta ameficha tu ushaidi wa kifo chake mwenyewe..Kumbe Mkunga wake anasiri za 😈giza na anatafuta chombo kamili cha roho kwa ajili ya mtoto wake aliyekufa, yaani anataka kutumia mtoto aliye tumboni mwa Bidada kumfufua mtoto wake aliyekufa 👹🍿...
_______________________________
🌐 Jiunge 🍷Telegram ⬇️⬇️
https://t.me/HFilam_Official/1447
·499 Views