Upgrade to Pro

MUNGU & SAYANSI |Hao sio mapacha ila ni mtu mmoja Ugonjwa wakifo tiba ni ufee alaka ili uepuke mateso ya kufa talatalatibu

๐Ÿ’๐Ÿปโ€โ™‚๏ธBidada anaugonjwa furani ivi unaitwa "Retrograde Syndrome, ambao hauna tiba. Anaamua kuunda nakala ya mwili wake, ili anapo kufa nakala yake iendelee kuishi kama yeye..nakala ya mwili inaundwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu. Nakala hii ina ๐ŸŒกDNA sawa na Sarah na inaonekana sawa naye, lakini hana kumbukumbu au uzoefu wake. Hata hivyo, miujiza inatokea Sarah anapona kutoka kwa ugonjwa wake. na sasa kuna wanawake wawili wanaoishi na jina moja. Kwa mujibu wa sheria ya nchi yao, lazima wapigane hadi kifo ili kuamua nani ana haki ya kuishi.

Telegram ๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป
https://t.me/HFilam_Official/1408
Username @HFilam_Official
MUNGU & SAYANSI |Hao sio mapacha ila ni mtu mmoja ๐Ÿ™„ Ugonjwa wakifo tiba ni ufee alaka ili uepuke mateso ya kufa talatalatibu ๐Ÿ’๐Ÿป‍โ™‚๏ธBidada anaugonjwa furani ivi unaitwa "Retrograde Syndrome, ambao hauna tiba. Anaamua kuunda nakala ya mwili wake, ili anapo kufa nakala yake iendelee kuishi kama yeye..nakala ya mwili inaundwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu. Nakala hii ina ๐ŸŒกDNA sawa na Sarah na inaonekana sawa naye, lakini hana kumbukumbu au uzoefu wake. Hata hivyo, miujiza inatokea Sarah anapona kutoka kwa ugonjwa wake. na sasa kuna wanawake wawili wanaoishi na jina moja. Kwa mujibu wa sheria ya nchi yao, lazima wapigane hadi kifo ili kuamua nani ana haki ya kuishi. Telegram ๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป https://t.me/HFilam_Official/1408 Username @HFilam_Official
Like
3
ยท494 Views