Upgrade to Pro

MGANGA WA MCHONGO | hali ilivyo kuwa ngumu nikauza hadi mikoba yenyewe ila Usiku silali

Mwamba ..babu yake alikuwa mganga maalufu sana na alijurikana sana ..Mwamba Licha ya kuwa ni mjukuu wa mganga maarufu. Mwamba haamini mizimu, lakini anajipatia riziki kwa kutoa mapepo bandia. anatumia ujuzi wake wa saikolojia kusaidia watu ...Siku moja anatembelewa na Mteja mwanamke na kumuomba aka msaidie mdogo wake.. mwamba ana sita sita lakini anaamua kukubali .. sasa balaa ni kwamba huyo mgonjwa ameingiliwa na jini baya sana ambalo lina kisasi na waganga ...anacho kutana nacho mwamba Usikubali kuadisiwa ..siku hiyo hiyo mwamba anamtafuta mtu alie muuzia mikoba ya babu yake movie kali sana hii

Tu FOLLOW : Telegram
https://t.me/HFilam_Official
MGANGA WA MCHONGO😳 | hali ilivyo kuwa ngumu nikauza hadi mikoba yenyewe ila Usiku silali Mwamba ..babu yake alikuwa mganga maalufu sana na alijurikana sana ..Mwamba Licha ya kuwa ni mjukuu wa mganga maarufu. Mwamba haamini mizimu, lakini anajipatia riziki kwa kutoa mapepo bandia. anatumia ujuzi wake wa saikolojia kusaidia watu ...Siku moja anatembelewa na Mteja mwanamke na kumuomba aka msaidie mdogo wake.. mwamba ana sita sita lakini anaamua kukubali .. sasa balaa ni kwamba huyo mgonjwa ameingiliwa na jini baya sana ambalo lina kisasi na waganga ...anacho kutana nacho mwamba Usikubali kuadisiwa ..siku hiyo hiyo mwamba anamtafuta mtu alie muuzia mikoba ya babu yake 🤣🤣 movie kali sana hii Tu FOLLOW : Telegram https://t.me/HFilam_Official
Like
Love
7
1 Comments ·360 Views ·146 Views