Daraja La Kifo | Majini ni washamba wa kamera kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu
Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa. akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "Rusifa" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame
Telegram 👇🏻👇🏻
https://t.me/HFilam_Official/1416

Daraja La Kifo 👹| Majini ni washamba wa kamera 👻📸kamera ya Samsung Galaxy S4 inapiga picha hadi mizimu
Bidada anaitwa "Lina" ni Mwanafunzi wa chuo kikuu, amekuwa akivutiwa sana na hadithi ya daraja lililolaaniwa.😳 akiwa na wanafunzi wezake wanafunga safari na kuelekea huko ili kuthibitisha kama ni kweri au ni polojo tu, Wanapowasili kijijini, wanaanza kupeleleza, sasa 😬balaa ni kwamba majini yana onesha umwamba.. yana jidhibitisha kuwa yapo🤡 yenyewe.. wanakuja kugundua kuwa hadithi zinazoendelea ni kweli tena ni mbaya zaidi kuliko walivyosimuliwa,🫣 na wanajikuta wao ndio wamekuwa kwenye orodha ya chakura cha usiku huu wakiwindwa na vijukuu vya shetani mwenyewe "😈Rusifa😈" Utamu na hofu kamili ya hii movie twende V.I.P Tukatizame
Telegram 👇🏻👇🏻
https://t.me/HFilam_Official/1416
·751 Views