Read more
Naanzaje kukucheat, nakifata kipi? Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh) Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali Baby, nipe taratibu huo utamu asali Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no #LoveConnectsUs
Like
Love
7
· 4 Commentarii ·0 Distribuiri ·979 Views