Upgrade to Pro

.... ๐—ง๐—ข๐—™๐—”๐—จ๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜, ๐—š๐—จ๐—˜๐——๐—˜

Jean Baleke (23) na Joseph Guede (29) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani.

โ—‰ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp.
โ—‰ Joseph Guede hana kasi.

โ—‰ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu.

โ—‰ Joseph Guede sio presser mzuri.

โ—‰ Joseph Guede ni mtulivu zaidi.
โ—‰ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede.

โ—‰ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede.

Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack.

Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC.

Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up.

Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga.

Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi.

Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi.

Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka.

โ—‰ Hafiz Konkoni.
โ—‰ Joseph Guede.

Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi.


Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
.... โš™๏ธ ๐—ง๐—ข๐—™๐—”๐—จ๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜, ๐—š๐—จ๐—˜๐——๐—˜ Jean Baleke (23) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na Joseph Guede (29) ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ni aina tofauti kabisa ya washambuliaji. Hawafanani kiuchezaji uwanjani. โ—‰ Jean Baleke ana kasi, yuko sharp. โ—‰ Joseph Guede hana kasi. โ—‰ Baleke ni presser mzuri | Anaweza kufanya pressing kwa muda mrefu. โ—‰ Joseph Guede sio presser mzuri. โ—‰ Joseph Guede ni mtulivu zaidi. โ—‰ Utulivu wa Baleke haujafikia wa Guede. โ—‰ Katika uwiiano wa kufunga magoli ukilinganisha na idadi ya mechi, Jean Baleke yuko juu ya Joseph Guede. โ„น๏ธ Gamondi anataka timu yake icheze kwa kasi wanapovuka mstari wa katikati, aina ya striker kama Guede utamlaumu kwa sababu hana kasi hiyo wakati wa counter attack. Mfumo wa Gamondi ndio umemtoa Guede kwenye kikosi cha Yanga SC. Washambuliaji aina ya Guede wasio na kasi kubwa huenjoy zaidi kucheza ndani ya box kusubiri huduma kutoka kwa viungo washambuliaji hasa Mawinga.. Gamondi hachezi hivyo anataka mshambuliaji pia ahusike kwenye build-up. Aina ya mawinga anaowataka ni kama DUKE ABUYA Modern Inverted wingers ambao hawakumbatii sana chaki pembeni, wana cut in.. Sio kama Okrah au Kisinda ambao muda mwingi wanacheza na chaki.. Wapo makocha wenye falsafa tofauti na Gamondi hutaka aina hiyo ya mawinga. Kwa mantiki hiyo bila shaka yoyote DUKE ABUYA atakuwa ni pendejezo la Gamondi. Jean Baleke ni striker ambaye anafit kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu ana kasi na anaweza kuwa sehemu ya ujenzi wa mashambulizi bila kuathiri uwepo wake katika goli la mpinzani kwa kuwa anakasi. โ„น๏ธ Rejea kwa strikers wakigeni waliosajiliwa na Yanga baada ya Mayele kuondoka. โ—‰ Hafiz Konkoni. โ—‰ Joseph Guede. Wote ni washambuliaji wazuri, wame struggle kuingia kwenye mfumo wa Gamondi kwa sababu hawana kasi. Wasipoleta timu tutawafuata hata kwenye viwanja vyao vya mazoezi.
ยท497 Views