“Simba inachoweza kuizidi Singida ni jina. Simba inajulikana kimataifa, Singida (Balck Stars) ndio kwanza inakuja. Siwezi kusema Simba ni timu kubwa sana kuizidi Singida hamna, wachezaji ni walewe wote wanamiguu miwili.” Kennedy Juma, Mchezaji wa klabu ya Singida Black Stars.

0 Commentarii
0 Distribuiri
149 Views