"Tumeamua kusisitiza kubaki na wachezaji wengi wakigeni licha ya watu wengi kutaka wachezaji wakigeni wapunguzwe,mafanikio ambayo tumeyapata ni kwasababu ya uwepo wa wachezaji wakigeni ambao kabla ya wao kuja timu zetu zilikuwa hazifanyi vyema katika michuano ya kimataifa. "Kwa takwimu tulizonazo wachezaji wakigeni hawajafika hawajafika 70 kati ya wachezaji 600 ambao huwa wanashiriki katika ligi kuu,hivyo wachezaji wetu wanatakiwa na wao watoke nje ili wakapate changamoto na sio sisi kupunguza idadi ya wachezaji wakigeni." Maneno ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Wallace Karia.

Like
1
0 Комментарии 0 Поделились 254 Просмотры