... š—£š—„š—¢š—£š—”š—šš—”š—”š——š—”

Sikutaka kabisa kuizungumzia hii propaganda iliyoanzishwa na Edo Kumwembe Instagram.

Lakini kwa kuwa nawajali sana wafuasi wangu waliofurika INBOX kuniuliza acha nizungumze kwa kifupi.

Kwamba kuna wanachama wachache wa Yanga wameshinda kesi mahakamani kuwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Said hapaswi kuwa Rais wa Yanga kwa sababu yuko kinyume na katiba ?! .. Propaganda.

Katiba iliyomuweka madarakani Eng. Hersi Said ilipita katika mamlaka zote, Serikali na (TFF) ikapata baraka zote.

ā—‰ BMT
ā—‰ FCC
ā—‰ TFF

Taarifa hizo hazi-make sense ndio maana huoni wakitajwa majina hao watu wanaosemwa wameenda mahakamani.

Kama wamepeleka masuala ya soka mahakamani, sheria za (FIFA) ziko wazi, wakijulikana WATAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SOKA MAISHA.. Kama michael Wambura.

Note : Baadhi ya watu wanamuhofia huyu jamaa that's why wanaunda propaganda.

Nadhani nitakuwa nimewajibu vyema.
(CC: Tom Cruz)

... šŸšØ š—£š—„š—¢š—£š—”š—šš—”š—”š——š—” Sikutaka kabisa kuizungumzia hii propaganda iliyoanzishwa na Edo Kumwembe Instagram. Lakini kwa kuwa nawajali sana wafuasi wangu waliofurika INBOX kuniuliza acha nizungumze kwa kifupi. Kwamba kuna wanachama wachache wa Yanga wameshinda kesi mahakamani kuwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Said hapaswi kuwa Rais wa Yanga kwa sababu yuko kinyume na katiba ?! .. Propaganda. ā„¹ļø Katiba iliyomuweka madarakani Eng. Hersi Said ilipita katika mamlaka zote, Serikali na (TFF) ikapata baraka zote. ā—‰ BMT ā—‰ FCC ā—‰ TFF Taarifa hizo hazi-make sense ndio maana huoni wakitajwa majina hao watu wanaosemwa wameenda mahakamani. ā„¹ļø Kama wamepeleka masuala ya soka mahakamani, sheria za (FIFA) ziko wazi, wakijulikana WATAFUNGIWA KUJIHUSISHA NA SOKA MAISHA.. Kama michael Wambura. Note : Baadhi ya watu wanamuhofia huyu jamaa that's why wanaunda propaganda. Nadhani nitakuwa nimewajibu vyema. (CC: Tom Cruz)
0 Commentarii Ā·0 Distribuiri Ā·348 Views