"Yani kufanya kote kazi na wewe umetumia msemo wangu (We huogopi) umenitumia na mimi unanilipa elfu 50 kweli ? Kumbe kwenye sanaa kuna dhuluma na dharau kiasi hiki daaah!!!. Nimejitoa sana Watanzania mliona kweli hii ni haki? Msemo wangu uibiwe na video vifanye bure kweli?"- Suzi Bale amlalamikia Msanii wa muziki Phina.
"Yani kufanya kote kazi na wewe umetumia msemo wangu (We huogopi) umenitumia na mimi unanilipa elfu 50 kweli đ? Kumbe kwenye sanaa kuna dhuluma na dharau kiasi hiki daaah!!!. Nimejitoa sana Watanzania mliona kweli hii ni haki? Msemo wangu uibiwe na video vifanye bure kweli?"- Suzi Bale amlalamikia Msanii wa muziki Phina.
5 Kommentare
·136 Ansichten