AYOUB LAKREAD !! Inasemekana:

Taarifa kutoka misri zinasema kuwa Mlinda lango namba moja wa klabu ya Simba Ayoub Lakred amepata Jeraha akiwa Mazoezini na atakuwa nje kwa zaidi ya miezi 2 hadi 3, Japo bado jopo la Matabibu wa klab hiyo wana pambana ili kuangalia uwezekano wa kuwahi kurejesha Utimamu wake kabla ya Miezi hiyo.
AYOUB LAKREAD !! Inasemekana: Taarifa kutoka misri zinasema kuwa Mlinda lango namba moja wa klabu ya Simba Ayoub Lakred amepata Jeraha akiwa Mazoezini na atakuwa nje kwa zaidi ya miezi 2 hadi 3, Japo bado jopo la Matabibu wa klab hiyo wana pambana ili kuangalia uwezekano wa kuwahi kurejesha Utimamu wake kabla ya Miezi hiyo.
Like
Haha
3
1 Commentaires 0 Parts 188 Vue