UBAYA UBWELA NDANI YA MJI KASORO BAHARI
Uongozi wa klabu ya Simba sc wanachama na mashabiki kutokea Dar es Salaam wamewasili mkoani Morogoro kwaajili ya Uzinduzi wa kilele cha Simba Day pamoja na Jezi mpya za msimu ujao wa mashindano
Simba wanataraji kuzindua jezi Majira ya Saa 10 jioni katika mbuga ya Mikumi ambapo pia watacheza mchezo wa kirafiki.