MAISHA NI SHULE

Kuna watu wengi sana ambao wameshakukatia tamaa,Wanaamini hauwezi Tena kuwa vile unavyosema utakuwa.Kuna ambao wanaona kwa makosa uliyoyafanya hakuna namna unaweza kurekebisha na kuinuka Tena.Wapo ambao wanaona haustahili kuwa vile unavyotaka,utakutana na watu ambao hawaamini kama unaweza kufanikiwa zaidi ya leo.Hata kama wao wamekukataa wewe jikubali amua kupambania unacho kiamini MUNGU anaweza kuwawezesha na kuwainua wale waliokataliwa na wengine." Mara nyingi kuna Ukweli ndani ya neno Natania.Na kuna Siri nzito ndani ya neo Sijui, na kuna Maumivu Makali ndani ya neno Niko sawa.
MAISHA NI SHULE Kuna watu wengi sana ambao wameshakukatia tamaa,Wanaamini hauwezi Tena kuwa vile unavyosema utakuwa.Kuna ambao wanaona kwa makosa uliyoyafanya hakuna namna unaweza kurekebisha na kuinuka Tena.Wapo ambao wanaona haustahili kuwa vile unavyotaka,utakutana na watu ambao hawaamini kama unaweza kufanikiwa zaidi ya leo.Hata kama wao wamekukataa wewe jikubali amua kupambania unacho kiamini MUNGU anaweza kuwawezesha na kuwainua wale waliokataliwa na wengine." Mara nyingi kuna Ukweli ndani ya neno Natania.Na kuna Siri nzito ndani ya neo Sijui, na kuna Maumivu Makali ndani ya neno Niko sawa.
Like
Love
3
0 Комментарии 0 Поделились 276 Просмотры