.USIHUKUMU MAPEMA, JIPE MUDA
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe.
Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari.
(Mtoto akachukuwa na kupiga)
Mtoto...Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke.
(Mama kwa hasira) Akirudi atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarudi, kufika mlangoni tu kapokelewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vizuri mwiko wa pua)
Mama...Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje??
Mtoto...Alisema mteja unayempigia hapatikani kwa sasa.
Baba ikabidi awe mpole tu.

Baba ikabidi awe mpole tu. 😳😳😳😳
·328 Views