Upgrade to Pro

FANYA MAAMUZI, VUTA SUBIRA

Wakati mwingine maamuzi magumu huleta heshima ya kesho usiogope ata kama yatakuumiza leo ila ipo siku yatakupa heshima, Katika mambo muhimu kwa mwanadamu ni kuamini hakuna kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kupunguza au kuzidisha Rizki yako.Usihuzunike wala usifadhaike Ikiwa wengine watapata kabla yako.Upo wakati wa kila Mmoja katika maisha,Baraka huwa taji kichwani kwa Mwenye haki.Lakini jeuri hufunika kinywa Cha uovu. Choteni maji lakini msichafue kisima.

FANYA MAAMUZI, VUTA SUBIRA Wakati mwingine maamuzi magumu huleta heshima ya kesho usiogope ata kama yatakuumiza leo ila ipo siku yatakupa heshima, Katika mambo muhimu kwa mwanadamu ni kuamini hakuna kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kupunguza au kuzidisha Rizki yako.Usihuzunike wala usifadhaike Ikiwa wengine watapata kabla yako.Upo wakati wa kila Mmoja katika maisha,Baraka huwa taji kichwani kwa Mwenye haki.Lakini jeuri hufunika kinywa Cha uovu. Choteni maji lakini msichafue kisima. 🙏🙏🙏👏👏
Like
Love
2
1 Comments ·380 Views