Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu...

Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo.
#paulswai
🚨Mashabiki wa Simba wana imani kubwa na Timu yao msimu huu... Hii inatokana na aina ya usajili mkubwa walioufanya na hamu ya kufanya vizuri baada ya kukaa muda mrefu kidogo tangu watawale soka kwa misimu minne mfululizo. #paulswai
Like
3
0 Commenti 0 condivisioni 399 Views