CEO wa bodi ya ligi Almasi Kasongo amesema ratiba ya ligi kuu ipo tayari kwa asilimia 99.9 na wanafikiria kuitangaza kesho

“Ratiba ipo tayari kwa asilimia 99.9 imani yangu ni kuwa kesho tutaitangaza ratiba ya ligi kuu kwa msimu 2024/25”. CEO wa bodi ya Ligi Almasi Kasongo kuhusu ratiba ya ligi kuu
#paulswai
CEO wa bodi ya ligi Almasi Kasongo amesema ratiba ya ligi kuu ipo tayari kwa asilimia 99.9 na wanafikiria kuitangaza kesho “Ratiba ipo tayari kwa asilimia 99.9 imani yangu ni kuwa kesho tutaitangaza ratiba ya ligi kuu kwa msimu 2024/25”. CEO wa bodi ya Ligi Almasi Kasongo kuhusu ratiba ya ligi kuu #paulswai
Like
Love
3
0 Commentaires 0 Parts 202 Vue