CEO wa Bodi ya Ligi ALMAS KASONGO amesema kuwa msimu ujao wa ligi kuu watatoa adhabu kwa maofisa wa habari ambao watakiuka kanuni kwa kushindwa kuzungumzia mpira na kuchekesha.

"Kuna muda nashangaa najiuliza huyu ni afisa Habari au Comedian,sasa adhabu itawahusu," CEO KASONGO
🚨CEO wa Bodi ya Ligi ALMAS KASONGO amesema kuwa msimu ujao wa ligi kuu watatoa adhabu kwa maofisa wa habari ambao watakiuka kanuni kwa kushindwa kuzungumzia mpira na kuchekesha. "Kuna muda nashangaa najiuliza huyu ni afisa Habari au Comedian,sasa adhabu itawahusu," CEO KASONGO
Like
2
0 Yorumlar 0 hisse senetleri 477 Views