Timu za ligi kuu zinatakiwa kujumuisha walau wachezaji wawili wanaotoka katika timu zao za Vijana kwenye kikosi cha wachezaji watakaocheza mechi za ligi kuu, watumike au wasitumike hilo ni jambo la kocha lakini wawepo kwenye benchi,mpango ni kuinua soka la Vijana" KASONGO CEO
🚨Timu za ligi kuu zinatakiwa kujumuisha walau wachezaji wawili wanaotoka katika timu zao za Vijana kwenye kikosi cha wachezaji watakaocheza mechi za ligi kuu, watumike au wasitumike hilo ni jambo la kocha lakini wawepo kwenye benchi,mpango ni kuinua soka la Vijana" KASONGO CEO
Like
2
0 Yorumlar 0 hisse senetleri 144 Views