Kanuni mpya ya Ligi Kuu imeruhusiwa timu za Ligi Kuu Tanzania bara kutumia viwanja vya Unguja au Pemba ikiwa vitakidhi vigezo.

“Tayari kuna timu moja imeshaomba kutumia uwanja wa New Amaan Complex na tumeshaipokea barua yao tutaitolea majibu siku za karibuni” Almas Kasongo,CEO
Kanuni mpya ya Ligi Kuu imeruhusiwa timu za Ligi Kuu Tanzania bara kutumia viwanja vya Unguja au Pemba ikiwa vitakidhi vigezo. “Tayari kuna timu moja imeshaomba kutumia uwanja wa New Amaan Complex na tumeshaipokea barua yao tutaitolea majibu siku za karibuni” Almas Kasongo,CEO
Like
2
0 Reacties 0 aandelen 152 Views