" Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. "

David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
" Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. " David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
Like
2
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·363 مشاهدة