Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuwa kuanzia mwezi huu wa Agosti 2024 itakuwa inawalipa Watayarishi wa maudhui (Content Creator) waliopo Nchini Tanzania kupitia mitandao yake ya kijamii ambayo ni Facebook na Instagram.
Pia mwezi huu kampuni hiyo ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa Waandaji wa maudhui Nchini Kenya baada ya kusitisha utaratibu huo mwezi wa tano.
Hata hivyo, bado Kampuni ya Meta haijatoa taarifa yoyote ile kuhusiana na kuwalipa Watengenezaji wa maudhui Nchini Tanzania lakini habari hii itakuwa ni nzuri kwa Afrika Mashariki kwa sababu itakuza soko la maudhui na kuleta faida kwa Watengenezaji hao.

Pia mwezi huu kampuni hiyo ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa Waandaji wa maudhui Nchini Kenya 🇰🇪 baada ya kusitisha utaratibu huo mwezi wa tano.