CHAMA HAKUONYESHA FURAHA YA UBINGWA.

Clatous Chama, kugomea kushangilia ubingwa wa Ngao ya Jamii na Wana Yanga wenzake

Clatous Chama nyota wa klabu ya Yanga Sc, aliyeingia mwishoni mwa mchezo akimpokea Aziz Ki kwa daki chache alizocheza alitoa usaidizi wa bao la nne ambalo liliifanya Yanga kuibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Azam FC

Cha kushangaza Clatous Chama, kukataa kuvaa medali ya ubingwa WA kombe la Ngao ya Jamii Chama pia hakutaka kuonuesha kufurahishwa na sherehe ya ubingwa huo ambapo alijiweka pembeni sana na wenzake waki furahia ubingwa

Licha ya yote hayo Chama kuyafanya haijajulikana nini shida ila kumbuka katika mkataba wa Chama na Yanga ni Chama kuanza katika kikosi namba Moja kwa kila mchezo ikiwa Yuko fiti kitu ambacho Yanga Hadi muda huu imeshindwa kutimiza siku chache meneja wa Chama alionyesha kutopenda kitendo hicho wanacho kifanya Yanga kumfanya Chama kuanzia benchi.
CHAMA HAKUONYESHA FURAHA YA UBINGWA. Clatous Chama, kugomea kushangilia ubingwa wa Ngao ya Jamii na Wana Yanga wenzake Clatous Chama nyota wa klabu ya Yanga Sc, aliyeingia mwishoni mwa mchezo akimpokea Aziz Ki kwa daki chache alizocheza alitoa usaidizi wa bao la nne ambalo liliifanya Yanga kuibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Azam FC Cha kushangaza Clatous Chama, kukataa kuvaa medali ya ubingwa WA kombe la Ngao ya Jamii Chama pia hakutaka kuonuesha kufurahishwa na sherehe ya ubingwa huo ambapo alijiweka pembeni sana na wenzake waki furahia ubingwa Licha ya yote hayo Chama kuyafanya haijajulikana nini shida ila kumbuka katika mkataba wa Chama na Yanga ni Chama kuanza katika kikosi namba Moja kwa kila mchezo ikiwa Yuko fiti kitu ambacho Yanga Hadi muda huu imeshindwa kutimiza siku chache meneja wa Chama alionyesha kutopenda kitendo hicho wanacho kifanya Yanga kumfanya Chama kuanzia benchi.
Like
Love
3
1 Comentários 0 Compartilhamentos 318 Visualizações