Upgrade to Pro

CONFIRMED: Mshambuliaji Leonel Ateba amejiunga na kikosi cha Simba kutoka USM Alger ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili.

Ateba ambaye ana umri wa miaka 25 raia wa Cameroon amewasili nchini leo na tayari amefanyiwa vipimo vya Afya na amefuzu.
๐Ÿšจ CONFIRMED: Mshambuliaji Leonel Ateba amejiunga na kikosi cha Simba kutoka USM Alger ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili. Ateba ambaye ana umri wa miaka 25 raia wa Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ amewasili nchini leo na tayari amefanyiwa vipimo vya Afya na amefuzu.
Like
1
1 Comments ยท266 Views