Taarifa zinasema Manula anahitajika kurejea kambi ya Simbasc.

Manula bado ni Mchezaji wa Simbasc akiwa na mkataba wa Mwaka mmoja umesalia.

Hii ni baada ya mchezaji huyo kukosa timu ya kumnunua moja kwa moja kama klabu ilivyotoka hapo Awali licha ya Azam kumtaka kwa mkopo jambo ambalo Simba hakuwakukubaliana nalo.

#paulswai
Taarifa zinasema Manula anahitajika kurejea kambi ya Simbasc. 🔗 Manula bado ni Mchezaji wa Simbasc akiwa na mkataba wa Mwaka mmoja umesalia. Hii ni baada ya mchezaji huyo kukosa timu ya kumnunua moja kwa moja kama klabu ilivyotoka hapo Awali licha ya Azam kumtaka kwa mkopo jambo ambalo Simba hakuwakukubaliana nalo. #paulswai
Like
2
1 Yorumlar 0 hisse senetleri 255 Views