ترقية الحساب

Afisa mmoja wa Polisi Nchini Uganda amesema kuwa Mume wa Zari, Shakib Chams ana uwezo wa kisheria kumfungulia kesi Zari kutokana na changamoto wanazopitia katika ndoa yao. Hii imekuja baada ya Zari na Shakib kutofautiana kufuatia hatua ya Diamond kuhudhuria "birthday" ya Binti yake Latifa nyumbani kwa Zari Nchini Afrika Kusini .

Siku kadhaa Zari alingia "live" mtandaoni na kudai kuwa Shakib ni msumbufu katika mahusiano yake na hakutoa mwaliko kwa diamond kuja nyumbani kwake huku amtishia kutengana na Shakib na kuweka wazi kuwa hana mchango wa maana katika mahusiano yao na hana anachohudumia familia yake.

Hata hivyo, Shakib alikanusha madai kuwa anamtegemea Zari katika maisha yake na kuweka wazi kuwa mara ya mwisho zari kumpa shilingi ni wakati wa ziara yake Nchini Tanzania na alimpa dola 2000 baada ya kupata dili la dola 40,000.

Afisa mmoja wa Polisi Nchini Uganda 🇺🇬 amesema kuwa Mume wa Zari, Shakib Chams ana uwezo wa kisheria kumfungulia kesi Zari kutokana na changamoto wanazopitia katika ndoa yao. Hii imekuja baada ya Zari na Shakib kutofautiana kufuatia hatua ya Diamond kuhudhuria "birthday" ya Binti yake Latifa nyumbani kwa Zari Nchini Afrika Kusini 🇿🇦. Siku kadhaa Zari alingia "live" mtandaoni na kudai kuwa Shakib ni msumbufu katika mahusiano yake na hakutoa mwaliko kwa diamond kuja nyumbani kwake huku amtishia kutengana na Shakib na kuweka wazi kuwa hana mchango wa maana katika mahusiano yao na hana anachohudumia familia yake. Hata hivyo, Shakib alikanusha madai kuwa anamtegemea Zari katika maisha yake na kuweka wazi kuwa mara ya mwisho zari kumpa shilingi ni wakati wa ziara yake Nchini Tanzania 🇹🇿 na alimpa dola 2000 baada ya kupata dili la dola 40,000.
Like
Love
4
1 التعليقات ·233 مشاهدة