''Japokuwa mimi mwenyewe natamani kuolewa, ila katika kitu sitamani ni kuolewa mke wa pili. Mwenyezi Mungu aniepushie tu na hicho kikombe, halafu wanachong'ang'ania ni suna ya mtume, suna ziko ngapi mpaka iwe hii tu'' - Lulu Diva, Msanii wa muziki na filamu Tanzania.

Love
Like
5
1 Yorumlar 0 hisse senetleri 251 Views