"Moja kati ya wachezaji ambao nilikuwa navutiwa nao katika nchi hii, waliowahi kucheza kwenye ligi kuu ya Tanzania ni Clatous Chama. Ni moja kati ya wachezaji bora, kiwango alichokuwa nacho na mchango wake kwenye timu ni mkubwa sana"

"Hii ni heshima kubwa kwa mchezaji kama huyo kuja kucheza Young Africans, na haikuwa rahisi pia kumleta. Kwahiyo tusidharau hiki kitu kwa kutuambia eti Chama ni mzee sijui maji ya jioni hizi ni kauli tunazijua sizitaki mbichi hizi,"

"Dhamira yetu ni ile ile kama Yanga, kila mashindano tunayoshiriki tunataka kubeba kombe, kwahiyo klabu bingwa tukiweka mguu Jumamosi dhamira kubwa na kwa baraka za mwenyezi Mungu kwanini tusiwe timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tanzania? Hayo ndio malengo yetu," Inj. Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga SC.

"Moja kati ya wachezaji ambao nilikuwa navutiwa nao katika nchi hii, waliowahi kucheza kwenye ligi kuu ya Tanzania ni Clatous Chama. Ni moja kati ya wachezaji bora, kiwango alichokuwa nacho na mchango wake kwenye timu ni mkubwa sana" "Hii ni heshima kubwa kwa mchezaji kama huyo kuja kucheza Young Africans, na haikuwa rahisi pia kumleta. Kwahiyo tusidharau hiki kitu kwa kutuambia eti Chama ni mzee sijui maji ya jioni hizi ni kauli tunazijua sizitaki mbichi hizi," "Dhamira yetu ni ile ile kama Yanga, kila mashindano tunayoshiriki tunataka kubeba kombe, kwahiyo klabu bingwa tukiweka mguu Jumamosi dhamira kubwa na kwa baraka za mwenyezi Mungu kwanini tusiwe timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tanzania? Hayo ndio malengo yetu," Inj. Hersi Said, Rais wa klabu ya Yanga SC.
Like
4
2 Comentários 0 Compartilhamentos 284 Visualizações